contact address

CG FM Radio

Kazeehill, Shule street,
Tabora, Tanzania..
TEL: +255 260 260 5763
Fax: +255 260 260 5763
E-mail: info@cgfmradio.com

please contact us

Our news

15 of Aug, 2016

Msanii kuoa

Ni mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alizimiliki headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica, ndoa hiyo ilifungwa kwenye kanisa liitwalo Mito ya Baraka Dar es Salaam, tazama hii video hapa chini uone ilivyokuwa ukumbini.

15 of Aug, 2016

Musa hassan Mgosi

Siku ya Jumapili ya August 14 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa mashabiki wa Simbana nahodha wa klabu hiyo Musa Hassan Mgosi ambaye ndio siku alitangaza rasmi kuachana na soka la ushindani na kuwa meneja wa timu ya Simba, Mgosi alicheza mchezo wa mwisho na kuagwa kwa heshima na viongozi na mashabiki wa soka.read more

19 of Aug, 2016

Man u

Usiku wa August 19 ilikuwa ni siku ambayo mashetani wa jiji la Manchester klabu ya Man United waliwakaribisha Southampton katika dimba lao la Old Trafford kucheza mchezo wao wa pili wa Ligi Kuu England baada ya mchezo wao wa awali kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth ugenini.
Mchezo dhidi ya Sothampton ulikuwa ni mchezo ambao ulitarajiwa kuangaliwa na mashabiki wengi zaidi duniani kutokana na kuwa hiyo ndio ilikuwa mechi ya kwanza ya Paul Pogba aliyevunja rekodi ya usajili ya dunia akitokea Juventus ya Italia na kurejea Man United kwa pound zaidi ya milioni 100 baada ya kuondoka 2012.