shows


Afya yako

Kipindi kinachoangazia masuala ya afya kwa upana zaidi.
Rika zote
12:00-13:00 kila jumapili


Magic style

Kuburudisha na kutoa habari mbalimbali zinazowahusu wasanii na kazi zawasanii
duniani kote kupitia muziki wa nyumbani (Bongo flavour) na muziki wa nje ya nchi.
Rika zote
14:00-16:00 Jumatatu-Alhamisi
Mseto Leo

Kipindi cha kijamii ambacho hukusanya dondoo za mapishi,na historia za kale Kuelimisha na Kuburudisha jamii juu ya matukio mbalimbali ya kihistoria,pia kutoa fursa kwa msikilizaji kutuma salamu kwa njia ya ujumbe mfupi
wa maneno na kuirekebisha jamii juu ya masuala yasiyo na maadili na kuotoa mafunzo juu ya mapishi mbambali na kutoa
Rika zote
11:02-13:00 Jumatatu-AlhamisiMICHEZO

Kipindi cha michezo na uchambuzi wa michezo
Rika zote
19:30-20:15Jumatatu-JumamosiCG MORNING POWER

Kipindi ambacho kuangazia masuala mbali mbali ya elimu,afya,siasa na mijadala mbali mbali ya kijamii Msikilizaji kuelimishwa na kuhabarishwa kupitia matukio mbali mbali ya
ndani na nje ya nchi na yeye kushiriki kwa kutoa mchango wake.
Rika zote
08:00am -11:00am Jumatatu-Alhamisi
REGGE|RAGGA|RIDDIM

Kipindi cha muziki wa wa reggae na pia huangalia historia za wasanii wanaimba muziki wa aina hiyo.
Rika zote
16:30pm - 18:30pm ijumaa